Madee Amkumbuka Albert Mangwea Sikukuu ya Eid...Nakutembelea Kaburi lake.

Msanii wa Bongo Fleva na kiongozi wa Kundi La Tiptop Connection Hamadi Ali Seneda maarufu kama MADEE, wakatiwa Watanzia wengi wakisherekea sikukuuu ya Eid yeye aliweza kutembelea Morogoro mahili alipo zikwa Mkali wa Hophop Mangwea..

Kisha kupiga sho mkoa huo...
Madee akiwa katika Kaburi la Marehem Albert Mangwea(Ngwea)
Share on Google Plus

About John Sambila

John Sambila alizaliwa Mkoani Tabora,Tanzania, september 14 ,anataaluma ya Computer and IT, Mbali na Hiyo ni Photograph,Radio Presenter,Blogger.Contact== 0716 31 64 31 na 0688 31 64 31
    Blogger Comment
    Facebook Comment