Z-Anto kupenya katikati ya Alikiba na Diamond, Agusia Tiptop na ukimya wake.
Anto ameahindi kuvunja ukimya hivi karibuni na kurejea tena kwenye game .HZB TV ilizungumzanae kuhusu kilichomfanya atoweke kwenye masikio na macho ya watu kwa muda mrefu na jinsi alivyojipanga kurudi tena.
Post a Comment