SERIKALI YA TANZANIA YATOA BIL. 678.6 KUJENGA MATENKI YENYE UWEZO WA KUHIFADHI MAFUTA TANI 378,000

 

Serikali imetoa shilingi bilioni 678.6 kwaajili ya ujenzi wa matenki ya kuhifadhi Tani 378,000 za mafuta kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Mradi huo unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka miwili, jambo linalotegemewa kukuza uchumi wa nchi lakini upatikanaji wa mafuta.